Huduma kwa waombaji visa ya Kenya kupitia kwa ubalozi wa Kenya nchini Namibia hazipatikani tena. Waombaji wa visa wanashauriwa kutembelea tovuti hii: https://www.ecitizen.go.ke/ ili kuomba visa kupitia kwa mtandao.

Waombaji wa visa maalum yaani ‘courtesy visa’ wanashauriwa kutembelea ubalozi wa Kenya mjini Windhoek kuanzia  09h00 hadi 12h00 kutoka Jumatatu hadi Ijumaa.